Kikorop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikorop ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wakorop. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikorop nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 10,200 na nchini Kamerun 7440. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikorop iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorop kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.