Kikomo (Ethiopia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikomo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan, Sudan Kusini na Ethiopia inayozungumzwa na Wakomo. Isichanganywe na lugha ya Kikomo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikomo nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 8530. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Sudan na Sudan Kusini pamoja (1979). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikomo iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikomo (Ethiopia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.