Kikisi-Kaskazini
Mandhari
Kikisi-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea na Sierra Leone inayozungumzwa na Wakissi. Lugha nyingine ya Kikisi ni Kikisi-Kusini nchini Liberia. Lugha hizo mbili zisichanganywe na lugha ya Kikisi nchini Tanzania. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikisi-Kusini nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 287,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisi-Kaskazini iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikisi-Kaskazini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikisi-Kaskazini Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikisi-Kaskazini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kqs
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikisi-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |