Kikayort

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikayort ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Wakayort. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikayort imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikayort iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibengali.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayort kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.