Kikayeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikayeli ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wakayeli kwenye kisiwa cha Buru. Mwaka wa 2007 hakuwa na wasemaji wa Kikayeli tena. Msemaji wa mwisho alifariki mwaka wa 1989. Wakayeli wote wengine hutumia lugha za Kimalay ya Ambon au Kilisela siku hizi, na Kikayeli yenyewe imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayeli iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayeli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.