Kilisela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilisela (pia Kiburu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Walisela kwenye visiwa vya Buru na Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilisela imehesabiwa kuwa watu 11,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilisela iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilisela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.