Buru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Buru ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-magharibi wa visiwa vya Maluku. Eneo la kisiwa ni 9505 km². Miji mikubwa kabisa kisiwani ni Namlea na Namrole. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 161,828. Watu wakaao kisiwani kwa Buru huongea lugha za Kiburu, Kilisela na Kiambelau.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.