Kikamviri
Mandhari
Kikamviri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan na Pakistan inayozungumzwa na Wakamviri. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikamviri nchini Afghanistan imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 2,000 nchini Pakistan (2004). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikamviri kiko katika kundi la Kinuristani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikamviri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikamviri Ilihifadhiwa 30 Juni 2022 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikamviri katika Glottolog
- lugha ya Kikamviri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikamviri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |