Kikaba-Naa
Mandhari
Kikaba-Naa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikaba-Naa nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji nchini Afrika yaKati ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba-Naa iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikaba-Naa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaba-Naa Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaba-Naa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kwv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaba-Naa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |