Kikaba-Deme

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikaba-Deme ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikaba-Deme nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji nchini Afrika yaKati ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba-Deme iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaba-Deme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.