Nenda kwa yaliyomo

Kijitaratibu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika utarakilishi na lugha ya programu, kijitaratibu (kwa Kiingereza: Subroutine) ni mfuatano wa maagizo ya programu yanayofanyika ili kutenda kitendo kimoja. Kijitaratibu kinaweza kinafanyika kwenye programu nyingine wakati wowote kinahitajiwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.