Kijachini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
A: Kijajuu B: Kijachini.

Kijachini au kijachini cha ukurasa (kwa Kiingereza: footer au page footer) ni sehemu ya ukurasa ambayo ipo chini ya matini kiini. Kwa kawaida, kijachini hutumika kujulisha namba ya ukurasa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).