Kiizon
Kiizon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waizon. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kiizon iko katika kundi la Kiijoidi.
Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiizon ilihesabiwa kuwa watu milioni moja.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kiizon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiizon Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiizon katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ijc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiizon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |