Kiija-Zuba
Mandhari
Kiija-Zuba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waija na Wazuba upande wa Kusini wa Abuja. Idadi ya wasemaji wa Kiija-Zuba haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha ya Kiija-Zuba haijaainishwa zaidi ya kuwa ndani ya kundi la Kibenue-Kongo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiija kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiija Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiija katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/vki
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiija-Zuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |