Kihmong-Don
Mandhari
Kihmong-Don ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam inayozungumzwa na Wahmong. Idadi ya wasemaji wa Kihmong-Don haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Don iko katika kundi la Kichuanqiandian. Wengine huianglia kama lahaja ya Kihmong-Daw.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihmong-Don kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihmong-Don Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihmong-Don katika Glottolog
- lugha ya Kihmong-Don kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Don kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |