Kihmong-Daw

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihmong-Daw ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina, Uthai na Laos inayozungumzwa na Wahmong. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kihmong-Daw nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 1,068,000. Pia kuna wasemaji 233,000 nchini Uchina (2004), 170,000 nchini Laos (1995) na 32,400 nchini Uthai (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Daw iko katika kundi la Kichuanqiandian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Daw kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.