Kihmong-Dô

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihmong-Dô ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam inayozungumzwa na Wahmong. Idadi ya wasemaji wa Kihmong-Dô haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Dô iko katika kundi la Kichuanqiandian. Wengine huianglia kama lahaja ya Kihmong-Daw.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihmong-Dô kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.