Kihazaragi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihazaragi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan, Iran na Pakistan inayozungumzwa na Wahazaragi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihazaragi nchini Afghanistan imehesabiwa kuwa watu 1,770,000. Pia kuna wasemaji 368,000 nchini Iran (2014) na 157,000 nchini Pakistan (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihazaragi kiko katika kundi la Kiiran cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihazaragi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.