Kiguso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiguso cha IBM Notebook.

Katika utarakilishi, kiguso (kwa Kiingereza: touchpad au trackpad) ni kiteuzi kinachotumika ili kudhibiti kielekezi cha tarakilishi kwa vidole.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).