Kigula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigula ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan inayozungumzwa na Wagula. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kigula nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 13,000. Pia kuna wasemaji 1100 nchini Sudan. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigula iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.