Kigudanji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigudanji (au Kingarnga) kilikuwa lugha ya Kimirndi nchini Australia iliyozungumzwa na Wagudanji katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wagudanji waliobaki kuzungumza lugha ya Kigudanji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigudanji kiko katika kundi la Kibarkly. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiwambaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigudanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.