Kiwambaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiwambaya ni lugha ya Kimirndi nchini Australia inayozungumzwa na Wawambaya katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwambaya 89. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwambaya kiko katika kundi la Kibarkly.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwambaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.