Kigbe-Maxi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigbe-Maxi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Wagbe. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kifon. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Maxi nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 66,000. Pia kuna wasemaji 25,300 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Maxi iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Maxi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.