Kifon
Mandhari
Kifon ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafon. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha ya Kifon iko katika kundi la Kikwa.
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kifon nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 1,400,000. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini Togo.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifon
- lugha ya Kifon katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fon
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |