Kigabi-Gabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kigabi-Gabi (rangi ya manjano)

Kigabi-Gabi (pia Kigubbi-Gubbi) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagabi-Gabi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigabi-Gabi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigabi-Gabi kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibatyala.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigabi-Gabi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.