Kibatyala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibatyala ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wabatyala katika jimbo la Queensland. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kibatyala saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatyala kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kigabi-Gabi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibatyala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.