Kifuru
Mandhari
Kifuru ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wafuru. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kifuru imehesabiwa kuwa watu 12,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifuru iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kifuru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifuru Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kifuru katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fuu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifuru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |