Kifur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kifur ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wafur. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kifur nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 500,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifur iko katika kundi la Kifur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.