Kidukizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vidukizi mbalimbali.

Kidukizi (kutoka kitenzi "kudukiza") ni kifaa cha umeme ambacho kinawekwa katika sakiti ya umeme ili kuzidisha kiasi cha nguvu ya kisumaku inayohitajika mahali fulani.

Kwa kawaida kidukizi kinaundwa na sakiti kubwa ya nyaya za umeme, kama vile za shaba, zikizungushwa katika metali laini kama vile bati[1], hasa kama vidukizi vidogo vimepangwa katika sakiti bora kama katika transista.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Inductors 101. Vishay Intertechnology, Inc. (2008-08-12). Iliwekwa mnamo 2010-10-02.