Kidjawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kidjawi (nyekundu kwenye visiwa)

Kidjawi (au Kijawi) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadjawi katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidjawi ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidjawi kiko katika kundi la Kinyulnyulan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibardi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.