Kibardi
Mandhari
Kibardi (au Kibaard) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Wabardi katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kibardi ilihesabiwa kuwa watu 160, na lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibardi kiko katika kundi la Kinyulnyulan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibardi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibardi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibardi katika Glottolog
- lugha ya Kibardi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibardi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |