Kidharuk
Mandhari
Kidharuk (au Kidharug) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadharuk katika jimbo la New South Wales karibu na mji wa Sydney. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidharuk ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidharuk kiko katika kundi la Kiyora.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidharuk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidharuk Ilihifadhiwa 13 Agosti 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidharuk katika Glottolog
- lugha ya Kidharuk katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidharuk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |