Tajino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kichwa cha jino)
Nafasi ya tajino kwenye muundo wa jino

Tajino ni jina la kichwa cha jino katika elimu ya uganga wa meno. Neno limebuniwa kwa kuunganisha maneno "taji" na "jino" [1].

Sehemu ya tajino inafunikwa kwa enameli ya jino ambayo inafanya uso mgumu wa jino wenye kazi ya kutafuna vyakula.

Kama tajino imeharibika daktari wa meno anaweza kuitengeza kwa kuongeza tajino bandia akitumia aina za saruji ya meno kama maligamu au metali. [2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. tazama KAST
  2. American Dental Association Crown and Bridge. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-03-02. Iliwekwa mnamo 2013-10-29.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Ash, Major M. and Stanley J. Nelson. Wheeler’s Dental Anatomy, Physiology, and Occlusion. 8th edition. 2003. ISBN 0-7216-9382-2.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tajino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.