Kichanganishi mtandao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika utarakilishi, kichanganishi mtandao (kwa Kiingereza: gateway) ni kiungo kati ya programu ya tarakilishi mbili kama jukwaa la mtandao. Kichanganishi mtandao kinaiacha programu mbili kusambaza taarifa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).