Nenda kwa yaliyomo

Kibonyezo kiepushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibonyezo cha kiepushi)
Kibonyezo cha kiepushi.

Kibonyezo kiepushi (kwa Kiingereza: escape key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili ziachwe programu.

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.