Kibima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibima ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabima kwenye visiwa vya Sumbawa, Sangeang na Banta. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibima imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibima iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.