Kibetawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibetawi ni krioli nchini Indonesia inayozungumzwa na wakazi wa jiji la Jakarta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibetawi imehesabiwa kuwa watu milioni tano. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibetawi imeanzishwa karne ya 19 kutoka lugha za Kimalay na Kiindonesia lakini ni tofauti nazo. Pia imeathiriwa na Kibali.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibetawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.