Kibali (Indonesia)
Mandhari
Kibali ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabali kwenye visiwa vya Bali na Nusa Penida. Pia Wabali wamehamia visiwa vya Sulawesi na Lombok.
Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 3,330,000.
Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibali iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa. Isichanganywe na lugha nyingine ziitwazo Kibali za huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Nigeria.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibali Ilihifadhiwa 17 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibali katika Glottolog
- lugha ya Kibali kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibali (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |