Kibena (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibena ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabena. Isichanganywe na lugha ya Kibena nchini Tanzania. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibena imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibena iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibena (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.