Kibedawiyet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibedawiyet au Kibeja ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Sudan, Misri na Eritrea inayozungumzwa na Wabedawi. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kibedawiyet nchini Sudan imehesabiwa kuwa watu 951,000. Pia kuna wasemaji 77,000 nchini Misri (1993) na wasemaji 158,000 nchini Eritrea (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibedawiyet iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibedawiyet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.