Nenda kwa yaliyomo

Kibarua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibarua (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: day worker) ni moja kati ya aina za kazi: ni zile kazi ambazo si za kudumu, bali ni kazi za muda mfupi tu na kipato kinachopatikana ni kwa ajili ya muda husika. Kwa maana ya kwamba kuna tofauti kati ya mfanyakazi na kibarua, ambapo kibarua huwa anapewa posho kwa siku na mfanyakazi huwa anapewa mshahara kwa mwezi.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibarua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.