Kibandi
Mandhari
Kibandi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wabandi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibandi nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 100,000. Wakati wa vita, Wabandi wengi walikimbilia Guinea kwa hiyo pia kuna wasemaji wengi wa Kibandi katika nchi hiyo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibandi iko katika kundi la Kimande.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibandi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibandi
- lugha ya Kibandi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bza
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibandi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |