Kibali (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabali. Isichanganywe na lugha ya Kibali izungumzwayo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kibali imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibali iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibali (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.