Kibajau cha Indonesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kibajau ya Indonesia)

Kibajau ya Indonesia (pia Kiorang-Laut) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabajau kwenye visiwa vya Sulawesi, vya Sunda na vya Maluku kama Bacan, Obi, Kayoa na Sula. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibajau imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibajau iko katika kundi la Kibarito. Kuna lugha nyingine za Kibajau nchini Malaysia na Ufilipino kama k.m. Kimapun.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibajau cha Indonesia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.