Kibaga-Sobane
Mandhari
Kibaga-Sobane ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea iliyozungumzwa na Wabaga. Wasemaji wa Kibaga-Sobane waliacha lugha yao na kuzungumza Kisusu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaga-Sobane iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisobane kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisobane Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kisobane katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bsv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibaga-Sobane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |