Kibaga-Kaloum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibaga-Kaloum ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea iliyozungumzwa na Wabaga. Wasemaji wa Kibaga-Kaloum waliacha lugha yao na kuzungumza Kisusu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibaga-Kaloum iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibaga-Kaloum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.