Khadim N'Diaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Khadim N'Diaye

Serigne Khadim N'Diaye (alizaliwa Dakar, 5 Aprili 1985) ni mchezaji wa Senegal ambaye anacheza katika klabu ya Horoya AC iiliyomo nchini Guinea nafasi ya kipa.

Kazi ya uchezaji[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika mji mkuu wa Senegal, akaanza kazi yake 1997 na klabu ya Espoir Saint Louis na kutia saini 2007 katika klabu ya Casa Sport.

Katika miaka miwili aliyochezea klabu hiyo alipata mataji 39 kabla ya kujiunga na wapinzani wa Ligi kuu ya Senegal ASC Linguère mwezi Juni 2010.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khadim N'Diaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.