Kenzaburo Oe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kenzaburo Oe (mwaka wa 2005)

Kenzaburo Oe (amezaliwa 31 Januari 1935) ni mwandishi kutoka nchi ya Japani. Hasa ameandika riwaya. Mwaka wa 1994 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenzaburo Oe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.