Kenza Dali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dali akiwa na Paris Saint German mnamo 2022

Kenza Dali (alizaliwa 31 Julai 1991)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ufaransa ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa pamoja na klabu ya Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce93/pdf/SquadLists-English.pdf
  2. "Joueuse - Kenza DALI - FFF". web.archive.org. 2017-04-19. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-04-19. Iliwekwa mnamo 2024-04-22. 
  3. "Footofeminin.fr - Équipe de France A - Kenza Dali". www.statsfootofeminin.fr. Iliwekwa mnamo 2024-04-22. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenza Dali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.