Nenda kwa yaliyomo

Kentaro Oi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kentaro Oi (alizaliwa Mei 14, 1984) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alichezea klabu ya Eastern Lions huko Australia.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kentaro Oi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.